Thursday, November 14, 2013

NOMA:police Nigeria akutwa akivuta bangi..

nigerian police smoking weed
Picha hapo juu inamuonesha policeman wa Nigeria akivuta bangi wakati akiwa kazini ,picha hiyo imeenea kwenye socil media kuanzia jana nov 14.
Jamaa alipiga picha hiyo kwa kutumia simu yake amedaiwa kudhibitisha kuwa ni kitu cha kijiti kutokana na harufu iliokuwa inatoka..


Du !kama habari hii inaukweli kama ilivyoandikwa na NaigaGigs basi huyu afande anahatari anakula halamu tena akiwa ndani ya unform…

0 comments: