Monday, November 18, 2013

Ndoa ya Peter Okoye (P squere) yafana ,DIAMOND audhulia !

peter okoye wedding photos
hatimaye member wa kundi la P squere Peter Okoye amefunga ndoa ya kiasili na mchumba wake Lola Otayo jana jumapili na sherehe kuhudhuliwa na mastaa kibao wa musiki pamoja na filamu.

miongoni wa mastaa hao ni pamoja na Dony jazz ,May d pamoja na Emmanuel Adebayor

 pia kutoka ndani ya Bongo +255 Diamond ambaye yupo nchini Nigeria hivi sasa alifanikiwa kuhudhuria ndoa hiyo ya Peter ,tizama baadhi ya picha..

0 comments: