Thursday, March 06, 2014

Tazama picha zilizua fununu kuwa Lupita Nyong'o anatoka na Rapper K'naan...

lup2
Fununu zimeenea kupitia mitandao kuwa mshindi wa tuzo ya OSCAR kupitia kipengele cha muigizaji msaidizi (best surpoting actress )kutokana na movie ya 12 year a slave Luputa Nyon'go ana mahusiano ya kimapenzi na rapper raia wa somalia ambaye makazi yake ni Canada K'NaaN ..

lup1
Fununu hizo zimeanza kuenea baada ya kuonekana kwa picha zilizowaonesha wakiwa pamoja mara baada ya usiku wa utoaji wa tuzo za Oscar ,huku K'NaaN akiwa amembebea tuzo Lupita ambaye alionekana anauchovu
 
Lupita Nyong’o & Singer K’Naan In A Relationship? [PHOTOS]

0 comments: