Monday, March 24, 2014

Muimbaji aliegeuka mchungaji Soul E adai kuoteshwa na mungu Wizkid akinyweshwa sumu ,Davido akipata ajali na kufariki na Aso Rock ikiungua moto”

4 
Msanii kutoka Nigeria ambaye hakupata mafanikio makubwa kupitia muziki Soul E ambaye kwa hivi sasa ni Mchungaji ametumia kurasa zake za Facebook na Instagram kutujulisha kile alicho anadai ameoneshwa na mungu ,na kusema mungu amemfungua macho yake na kumuonesha kuwa Wizkid amenyweshwa sumu , Davido amepata ajali na kufariki na eneo lanye madhari nzuri Abuja 'Aso Rock" likiungua moto”
Soul E kwa hivi sasa anamiliki kanisa lake nchini Nigeria0 comments: