Wednesday, March 26, 2014

Chanzo cha ajali iliyo yafabisha kifo cha muigizaji Paul Walker cha fahamika ..

http://i1.mirror.co.uk/incoming/article2871602.ece/ALTERNATES/s1023/Paul-Walker-2871602.jpgTaarifa ya upelelezi wa ajali iliosababisha kifo cha muigizaji Paul Walker inasema kilichobabisha ajali hiyo sio tatizo la kiufundi ndani ya gari  bali ni mwendo kasi ..

Kwa upande mwingine upelelezi huo unasema hakuna kilevi kilichokuwa kimetumika kwa wote wawili kabla ya kupata ajali ..


Walker alipata ajali na kufariki Nov 30 akiwa na Roger Rodas ambaye ndie alikuwa akiendesha gari hilo

0 comments: