Monday, March 24, 2014

Ndoa ya Paul Okoye wa P sqaure yaweka Historia, yarushwa LIVE kwenye TV..

 http://net.nigerianentertai.netdna-cdn.com/wp-content/uploads/2014/03/Paul-Okoye-weds-Anita-Isama-4.jpg
Paul na mkewe waliuza haki za kurushwa kwa ndoa yao ya kimira iliofanyika march 22 moja kwa moja  kwenye television ya Hip (Hip TV ) ambayo inapatikana kwenye Dstv (324 ) 


Television ya Hip (Hip TV)imeweka historia baada ya kuonesha moja kwa moja ndoa ya memba wa P Square, Paul Okoye na mkewe Anita Isama ,Hip TV imekuwa Tv ya kwanza nchini Nigeria kurusha moja kwa moja ndoa ya msanii.

Pia katika ndoa hiyo ilio hudhuriwa na mastar kibao Paul na Peter walitambulisha wimbo mpya unaoitwa 'Sare Sare' ambao utakuwepo kwenye albam yao mpya .
http://net.nigerianentertai.netdna-cdn.com/wp-content/uploads/2014/03/Paul-Okoye-weds-Anita-Isama-14.jpg

0 comments: