Monday, March 24, 2014

Rick Ross hutumia mistari ya Zaburi kumshukuru mungu...

http://www.zkhiphani.co.za/wp-content/uploads/Rick-Ross-in-south-africa-2013.jpg
 Rosey ambaye anamafanikio makubwa kupitia albam sita alizo kwisha kuzitoa mpaka sasa amsema hupiga goti kila siku kabla ya kulala na kumshukuru mungu kwa kila kitu na anapenda kutumia kutumia mistari ya biblia iliopo kwenye zaburi  27:1''


'Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? Bwana ni ngome ya uzima wangu, Nimhofu nani?'
Rick Ross  38 - ambaye anamiliki zaidi ya Tottoo 500 katika mwili wake amenunu nyumba ya kifahari  Georgia, ilio kuwa ikimilikiwa na mwanamasumbwi Evander Holyfield

1 comments:

Anonymous said...

Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa!