Wednesday, February 26, 2014

TYGA AMESEMA KANYE WEST NDIO PRODUCER MKUU WA GOLD ALBAM ..

Tyga amesema Kanye West ndio atakuwa producer mkuu wa albam yake mpya ya Gold Album ambayo itatoka mwaka huu  .

 
“Kanye executive producing that, so it’s gonna be a crazy album,” Tyga told Yesi Ortiz on Power 106.
Kanye na Tyga wamekuwa waonekana pamoja , Tyga na Blac Chyna walihudhuria birthday party ya Kim Kardashian wakati akitimiza miaka  33

0 comments: