Wednesday, February 19, 2014

mcheza miereka Big Daddy Amefariki dunia..0218-big-daddy-v-wwe
mcheza miereka wa WWE Nelson Frazier Jr. Big Daddy V amefariki dunia February 18 kutokana shambulio la moyo nyumbani kwake Memphis, Tennesse.
 
Frazier aliingia rasmi kwenye miereka 1993 na alijulikana sana kwa jina Mabel ,ijumaa iliopita February 14 alisherekea kutimiza miaka 43 .
Rafiki wake wa karibu alitoa taarifa hizo kupitia twetter "I'm going to put one in the air for my fallen colleague Big Vis. This sh*t always sucks but some suck more than others."

0 comments: