Saturday, February 01, 2014

FA na AY kupanda stage moja na Soulja Boy na Sean Kingston jijini Lancaster, US, April 5?

 
Kama mipango ikienda sawa, kuna uwezekano The Gladiators (Mwana FA na AY) wakapanda steji moja na Sean Kingston na Soulja Boy kwenye show itakayofanyika April 5, jijini Lancaster, California nchini Marekani.


Promoter wa kimataifa, Hemdee Kiwanuka, aliyeandaa show hiyo, amewauliza AY na Mwana FA kama wanaweza kuwepo kwenye show hiyo, nao wakajibu kuwa inawezekana.
Hemdee ametweet: @AyTanzania On April 5th We’re doing @SeanKingston & @souljaboy @uavpec in Lancaster, Ca Can U & @MwanaFA make the show? It’s gonna be crazy!
AY alijibu: Yeah we can make it happen” huku FA akijibu: ofcoz,yeah
Na mwisho Hemdee alimalizia kwa kujibu: I am going to start making arrangements. ON APRIL 5TH… WE’RE GOING TO SHOW THEM HOW WE DO THIS SON
credit:Binamu13.com

0 comments: