Tuesday, February 04, 2014

P-Square kutoa albam ya sita mwaka huu


1391509364psquare

Baada ya kukaa kwa miaka miwili na nusu bila kuachia albam Peter na Paul Okoye wameamua kufata mfumo ambao unatumiwa na Davido pamoja  Wizkid ambao huachia hit singles na kisha kutoa albam .
Habari zilizopo hivi sasa Peter na Paul wamepanga kutoka na albam ya sita mwaka huu ,hapo mwanzo kulikuepo taarifa kuwa jamaa hawatotoa albam tena .
Kwa mujibu wa msemaji wa P-squere Bayo Adetu amesema jamaa wataachia single mbili kabla au siku ya valentine  na kasha albam itafuatia .

0 comments: