Wednesday, February 19, 2014

Alhuda Njoroge A.K.A Huddah Monroe anatarajia kuwa mama...

Huddah Monroe

Mshiriki wa Big Brother kutoka Kenya Alhuda Njoroge A.K.A Huddah Monroe ambaye amekua haishi kupost picha za utata kwenye mitandao ya kijamii amesema anataraji kuwa mama hivi karibuni.
 
Huddah Monroe, ambaye kwasasa anadaiwa kutoka kimapenzi na rapper Colonel Moustapha, amenukuliwa na mtandao wa Ghafla kuhusu matarajio yake ya kuwa mama
I read some stories and just laugh. I will be a mother soon. So I don’t think being called a socialite would be appropriate.’

0 comments: