Tuesday, April 29, 2014

Shavu: Wema Sepetu aitangaza huduma ya internet ya Airtel

Shavu: Wema Sepetu aitangaza huduma ya internet ya Airtel
Makampuni ya simu yameendelea kuwapa Neema wasanii wa mbalimbali wa Tanzania, na wakati huu ni neema imemuangukia Wema Abram Sepetu.

 
Wema ameonekana katika picha akiwa sura mpya itakayoitangaza huduma ya mtandao wa Airtel inayohusu internet itakayomsaidia mteja kuingia Whatsap, Facebook, na Twitter bure.

0 comments: