Wednesday, April 30, 2014

KTMA: Leo ni mwisho wa upigaji kura


KTMA: Leo ni mwisho wa upigaji kura

Leo (April 30) mlango wa kuwapigia kura wasanii wanaowania tuzo katika vipengele mbalimbali vya Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 unafungwa rasmi.
Mashabiki wanaweza kusaidia kuwapa nafasi zaidi wasanii wanaowapenda au nyimbo wanazozikubali zaidi na wanapenda zichukue tuzo mwaka huu katika vipengele husika.

 
Unaweza kupiga kura sasa hivi kupitia simu ya mkononi, andika KILI tuma kwenda 15440. Unaweza kupiga kura kwa njia ya mtandao, tembelea www.kilitime.co.tz/ktma
Washindi wa tuzo hizo watatangazwa rasmi usiku wa May 3, 2014.
credit:Timesfm.co.com

0 comments: