Tuesday, April 29, 2014

Dj Khalid atangaza kufanya collabo na Jay Z

Jay Z and DJ Khaled

DJ Khaled amesha fanya nyimbo na wasanii wakubwa kama Kanye West, Lil Wayne, na  Drake, na sasa amejipanga kufanya collabo kubwa na Rapper Jay Z kwenye ngoma alioipa jina la “They Don’t Love You No More,”itakayo kuepo kwenye albam yake ijayo.
 “ nifuraha kufanya kazi na Jay Z kwenye albam yangu mpya ,nimefanya kazi kubwa mpka kufikia hapa’ amesema Dj Khalid ambaye anajianga kutoka na albam yake ya nane

0 comments: