Wednesday, April 30, 2014

Video: Angalia video ya Profesa Jay akihojiwa na Fredwaa katika kipindi cha Sun Rise cha Times Fm

 Video: Angalia video ya Profesa Jay akihojiwa na Fredwaa katika kipindi cha Sun Rise cha Times Fm 
Profesa Jay alikuwa mgeni katika kipindi cha Sun Rise cha 100.5 Times Fm Ijumaa iliyopita ikiwa ni Exclusive Friday ambapo alifanya mahojiano na Fred Fidelis maarufu kama Fredwaa.
Profesa ambaye wimbo wake ‘Kipi Sijasikia’ aliomshirikisha Diamond Platinumz alieleza mengi ambayo hakuwahi kuyaeleza sehemu yoyote husasani kuhusu wimbo wake ‘Kipi Sijasikia’.

0 comments: