Wednesday, April 30, 2014

Kanye West na Kim Kardashian kufunga ndoa wiki hii.


http://www.manrepeller.com/wp-content/uploads/2014/03/nydaily-news.jpg


Kanye West and Kim Kardashian wako tayari kufanya mahusiano yao kuwa rasmi kabla ya wiki hii kuisha wanatajia kufunga ndoa ya serikali.

Kwamujibu wa mtandao wa TMZ wawili hao wamepanga kufunga ndoa ya kisheria wiki hii kimya kimya bila ya kuwa na watu wengi.


Sherehe rasmi za ndoa hiyo zinatarajia kufanyika Paris Ufaransa mwezi ujao ,sherehe ambazo zinatarajiwa kuhudhuliwa na watu wengi maarufu.
Hii itakuwa ndoa ya kwanza kwa Kanye na ya tatu kwa Kim.kwa mara ya kwanza Kim aliolewa mwaka 2000 akiwa na miaka 20 na mtayarishaji wa musiki Damon Thomas ndoa hiyo ilidumu kwa miaka minne na kisha mwaka 2011 akaolewa na  mcheza kikapu Kris Humphries ambaye walipeana talaka 2013..

0 comments: