Thursday, April 17, 2014

Tiwa Savage kama Kim K apunguza mwili kutengeneza muonekano..


tiwa savage wedding

Mwimbaji kutoka Nigeria Tiwa savage amepunguza mwili kwa lengo la kuwa na muonekano mzuri kwenye sherehe ya ndoa yake itakayo fanyika wiki ijao (april 26 )dubai. 
 
Tiwa Savage ambaye amekuwa mwali kwa wiki kadhaa anaolewa na Tunji “Tee Billz” Balogun ambaye ni manager wake  katika kazi zake za muziki.
Tiwa savage na Tunji “Tee Billz” Balogun tayari walisha funga ndoa ya kimira novemba mwaka jana.
 

0 comments: