Wednesday, April 23, 2014

Soma alichokisema mke wa Peter Okoye ,baada ya ugomvi wa P-Square

PSQUARE

Wiki hii kumekuwa na  taarifa za ugomvi wa mapacha wanao unda kundi la P-Square na ikisemekana wanataka kugawana mali ili kila mmoja ajitegemee ,huku mke wa Peter akitajwa kuwa chanzo cha ugomvi huo ..
 
Kupitia ukurasa wake wa facebook mke wa peter Okoye Lola Omotayo ametoa ya moyoni juu ya sakata hilo huku akionesha kukiri kuhusika katika ugomvi huo ambao umetishia kuendelea kuwepo kwa kundi la P –Square..
“nivipi mtu moja anaweza kubomoa muungano mzuri wa mapacha ambao wamefanya vizuri pamoja miaka ilio pita .wanaweza kukubali  kuacha yote kwasababu ya mwanamke moja ?tuna matumaini hawawezi kuachana kwasababu watavunja mioyo ya watu wengi.”ameandika Lola Omotayo kwenye ukurasa wake wa Facebook

0 comments: