Friday, October 05, 2012

Psquare kumpa mkataba Mghana ,Square Records ..


Square Records wako njani kumpa mkataba masanii kutoka nchini Ghana Predy X..
 Kwa mujibu wa msemaji wa Square Records Bayo Adetu waligundua kuwa jamaa anakipaji baada ya kuwa anatajwa sana na maproducer wakubwa katika mazungumuzo .. ndipo management ya  label ya Square Records ilipomfuatilia na kuamua kumuingiza kundini
Samuel Omane-Mensah aka Predy X, anatarajia kudondoka NAIJA kwa ajili ya kufanya makubaliano na  Square Records, na inaonekana anaingia Square Records kuchukua nafasi ya May D ..

0 comments: