Thursday, October 11, 2012

Chama cha UHURU Kenyatta TNA ,Kutengenezewa ngoma na P-UNIT kwa ajili ya campaign,uchaguzi ujao..


Jana chama cha  The National Alliance (TNA), kinachoongoswa na  Deputy Prime Minister Uhuru Kenyatta kilipata ugeni kutoka wa P-Unit na wakapata nafasi ya kupiga picha na katibu mkuu wa chama hicho Johnson Sakaja..
Rumors zinasema P-Unit huenda wakaimba anthem ya chama cha TNA ,na wimbo huo utakuwa uanatumika wakati wa campaign..

0 comments: