Friday, October 26, 2012

BABA WA RIHANA ANAAMINI, MWANAE ATAOLEWA NA CHRIS BROWN..


Baba wa Rihanna, Ronald Fenty anafuraha kuona Riri and Chris Brown wamerudiana na matumaini yake mapenz yao, this time yataishia kwenye ndoa a

Ronald Fenty  baba wa Riri akipiga story na Life & Style magazine:

“vyovyote ilimradi anakuwa na furaha ,naamini siku moja ataolewa ,kila mmoja anampenda Chris, he’s a super guy. Sisis kama family tunampenda Chris Brown hata kabla hatukutana nae ,wakati wote tunajua anakipaji kikubwa .ni mtu mzuri na mara zote ananihesimu

Hakuna hata fununu za Rihanna na Chris Brown kupanga kufunga ndoa, lakini kuna fununu za rihana kuwa mjamzito..

0 comments: