Friday, October 12, 2012

Ray c yupo REHAB baada ya kurudi BONGO....


Rehema Chalamila, known only as Ray C kwahivi sasa yupo rehab akipambamba kuachana na  drugs.
Ray C hivi karibuni alikuwa nchini Kenya na kufanya kazi na  French Boy, "Moto Moto" ambayo mpaka sasa inafanya fresh kipande cha kenya.lakini kwasasa amerud bongo, The Kenyan DAILY POST wamechapisha taarifa kuwa Ray C hivi sasa yupo rehab,na anasema anatafuta mwanaume wa kikenya na mpakas sasa kunamaombi kibao.
Tunaamini atafanikiwa kwa kile anacho kitafuta na kurudi kama zamani...

0 comments: