Monday, October 01, 2012

Usher kuuza nyumba ambayo bado Tameka anaishi .....


BAADA ya battle ya muda mrefu mahakamani na Usher kushinda hukumu ya awali ya kuishi watoto wao wawili,sasa jamaa amepanga kuuza nyumba yake ya kipande cha Georgia ambayo Tameka anaishi tangu mwaka 2009 walipo mwagana..
TMZ wametoa riport kuwa Tameka amrsha pewa notes za kuhama kupisha biashara..

0 comments: