Sunday, October 14, 2012

LIST YA AWALI YA MAJINA YA WASANII WATAKAOTOKEA KWENYE STAGE YA MTIKISIKO 2012...MAKAMBAKO...!!!!


.
Hili ni swali ambalo wengi waliumiza vichwa sana..."MTIKISIKO" 2012 "Ndo Vileeeee...!!!"..kuwa itaanzia wapi na list ipi ya wasanii itadondoka katika kila pande ambazo MTIKISIKO 2012 itapita....Now tyr imekuwa confirmed kwa baadhi ya wasanii kutokea katika STAGE ya tamasha hilo kubwa kuliko yote KUSINI MWA TANZANIA ..MAKAMBAKO ambako safari hiyo inaanzia...AMINI na LINAH kutoka T.H.T ni majina ya kwanza yaliyotajwa kutokea kunako stage ya MTIKISIKO 2012 pande za MAKAMBAKO Jumapili Oct 21...mchekeshaji maarufu na mkali wa vichekesho vya kusimama aka "Stand Up Comedy" anayegonga mzigo katika kundi la Original Comedy na ambaye pia kwa sasa ni msanii wa kuimba (perfoming artist) MPOKI aka Mwarabu wa Dubai...pia ametajwa kuonekana juu ya stage hiyo...haya ni majina ya awali ya wasanii ambayo tyr yako confirmed kutokea kunako MTIKISIKO 2012..MAKAMBAKO...Stay tuned kwa majina mengine zaidi na zaidi......MTIKISKO 2012.."Ndo Vileeeeeeeee.....!!!"

0 comments: