Wednesday, October 17, 2012

Jay-Z adaiwa kumpa Onyo Chris kuhusu Rihana..Jay-Z  always amekuwa akimtetea  Rihanna ambaye yupo katika label yake, so fununu hizi hazwezi zikakusurprise kwamba  Hov alifanya mazungumzo ya falagha na Chris Brown wakati wa show yake ya  Barclay's Center. According to The Sun, Jay alimualika Chris kwenye show show, na akazungumza nae kuhusiana na mahusiano yake na Rihanna.
Katika mazungumzo hayo  Jay inadaiwa alimwambia  Chris, kama akimuumize tena  Rihanna atauwa kipaji chake"  na kama akimfana awe na furaha atafika mbali sana…

0 comments: