Thursday, October 25, 2012

PICHA ZA AJALI YA RAPPER PUFF DADDY...



Rapper Diddy Jana Mchana Gari yake aina ya  SUV iligongana na Nyingine, na inasemekana alipata maumivu makali, laikini cha kushangaza alikataa kwenda hospital akidai atatibiwa na Dactari wake..

0 comments: