Friday, October 19, 2012

Drake Amaliza sekondari akiwa na miaka 25...


Akiwa na miaka 25,na tayari amekwisha achia two platinum-selling albums na kusafiri sehem ubwa ya dunia, rapper Drake  hatimaye amemaliza High school

akiwa na 15, young Drake, born Aubrey Graham, aliacha masomo ya high school na kuamua kushiriki popular Canadian television series "Degrassi: The Next Generation." 


hivi ndivyo andika kwenye twetter..0 comments: