Tuesday, June 04, 2013

Tyler The Creator :ndo chanzo cha ugomvi kati ya Bieber na Jilani zake..

Last weekend, Justin Bieber aliingia matatizoni akidaiwa kuendesha gari kwa mwendo wa kasi katika makaziya watu ,nakupelekea star wa zamani katika ligi ya  NFL  Keyshawn Johnson,kumfukuzia nakum-bloke akiofia biebz anahatarisha maisha ya watu waeneo hilo kabla bieber kudaiwa kuingia ndani kwake na kukataa kutoka..


sasa story hii imeendelea baada ya kudaiwa aliekuwa akiendesha Ferrari hiyo sio BIEBZ bali ni Tyler The creator licha ya kuwa mashaidi zaidi ya watatu ambao ni majirani zake  kusema aliekuwa akiendesha gari hiyo ni bieber lakini walinzi wake wamesema wakidibitisho kuwa Tyler ndie aliefanya kosa hiloTyler nae ameresponde habari hizo kupitia ukurasa wake wa Twetter kwa kukili kuwa ni kweli alifanya tukiohilo.Tyler
,

The Creator  ✔ @fucktyler
#That Was Me Behind The Wheel Of Justins Vehicle. Don't Blame Him.
 People Are Actually Evil Swearing Up And Down That It Was Who It Wasnt.

0 comments: