Thursday, June 27, 2013

Baada ya kutoka Jela Ja Rule kutoka na Bonge la MOVIE..

Ja Rule hivi sasa anapromote movie yake mpya 'I'm In Love With a Church Girl',alioifanya na mtoto mzuri  Adrienne Bailon. Ndani ya hiyo movie Rule amecheza kama jamaa alie amua kuachana na uuzaji wa dawa za kulevya / former drug dealer/ ambaye amechoshwa na maisha aliopitia na ku fall in love kwa msichana wa kanisani kutoka kwenye familia ya dini.Mausiano yao yanakuwa katika wakati mgumu ja rule anapoteza marafiki na anawindwa kutokana na matukio yake ya mtaani aliopitia,inawawia vigumu kujenga mahusiano yao .
Tizama  trailer hapo juu. movie inatarajia kutoka October 18.

0 comments: