Tuesday, June 04, 2013

MMG watangaza kuja na "Self Made Vol.3"

Members wa Maybach Music Group wameungana tena kwa ajili ya"Self Made 3" compilation album.Maybach Music Group wanakuja na albam yao ya tatu katika muendelezo   Self-Made albams .MMG boss, Rick Ross ametumia Twitter kuwafahamisha kuhusu albam hiyo ambayo itatoka rasmi  August 6th.
                                # Check out the money-themed cover art for Self Made Vol. 3 .
Na tayari single ya kwanza imeisha toka kutoka kwa Rockie Fresh track. Listen to "God Is Great"

0 comments: