Sunday, June 02, 2013

J.Martins Afunga ndoa KimyaKimya..


 see_photos_j_martins_quietly_weds3.jpg

 muimbaji na  producer kutoka nigeria week iliopita tarehe30 mwezi huu alifunga pingu za maisha kimya kimya na girlfriend wake wa muda mrefu Nnezi Mbila, na tafrija hiyo ilifanyika Protea Hotel Oakwood in Lekki, Lagos.


wakali kama kama P-Square, Uti Nwachukwu, AY, Jude Okoye, footballer Ikechukwu Uche Senator Ayim Pius Ayim, the governor of Abia State,Theodore Orji walihudhuria katika sharehe hizoJ martins amekuwa star wa pili kutoka     Nigeria   mwaka huu kufunga ndoa baada ya 2 face Idibia ,,
see_photos_j_martins_quietly_weds3.jpg

0 comments: