Monday, June 24, 2013

Fat Joe kwenda jela Miezi Minne..


Fat Joe amehukumiwa kwenda jela kwa miezi minne baada ya kupatikana na hatia ya kukwepa kulipa kodi.
 
Joe alipatikana na hatia December mwaka jana , kwa madai ya kuwepa kulipa kiasi kikubwa cha kodi kinachokaribia dola million 1 kwa mwaka 2007 na 2008 .

Fat joe angeweza kwenda jela miaka miwili kwa kosa hilo lakini amepunguziwa adhabu na sasa ataenda jela miezi minne na kulipa fine ya  dola 15,000 na mwaka mmoja wa kuwa chini ya ungalizi,Fat Joe Anatakiwa kuanza kutumikia kifungo chake August 26. 

0 comments: