Tuesday, June 18, 2013

Tarrus Riley amtaka President Uhuru Aandae Free Concert kwa ajili ya Fans wake nchini Kenya...

b_350_300_16777215_0_http___niaje.com_wp-content_uploads_2013_06_797104-tarrus-riley.jpg

Tarrus Riley baada ya kushindwa kutokea katika show iliopangwa kufanyika last week end nchini  Kenya ,amemtaka rais wa Kenya Uhuru Kenyata kuandaa show ili yeye na timu yake wadondoke kenya na kutoa burudani ya bure kwa fans wao.

Tarrus ametuma ujumbe huo kupiti video aliojirekoprd akiwa Uberigiji kuwaomba radhi mashabiki wa muziki nchini kenya..

. "We were there since Thursday and didnt sleep until it was time to leave and the business never really started, we would never disrespect you and we dont want to be disrespected"
 amesema To hiyo tarrus katika video,,,itizame hapo chini..

0 comments: