Thursday, July 25, 2013

is it serious?Dj khaled ataka ndoa na ymcmb queen Nicki Minaj.. 
Mkali wa kuwakutanisha wasanii wengi kwenye ngoma moja  DJ Khaled  ameonesha kuto kuwa na nishai na kuweka hisia zake wazi kwa Nicki Minaj .kafanya hivyo wakati akifanya interview MTV News, DJ Khaled ameamua kumpa special offer Nicki, na kukili kumtaka kimapenzi  na angependa afunge nae ndoa.


‘Nicki Minaj am at MTV, I want to be honesty with you,I love u,I like ,I want you to be mine, am here MTV bcoz is a worldwide network,and reason why I wont tell you face to face I understand you busy,ama be honesty with you,I wanna marry you’’ hayo ni baadhi ya maneno aliyoyasema  Dj Khalid kwenye clip video ya MTV

Unaweza kujiuliza maswali jamaa yupo serious au anatafuta Kick.bila shaka ni masihara .chukua dakika chache kutizama hiyo video hapa chini..


Get More: DJ Khaled, Music News

0 comments: