Thursday, July 25, 2013

Belle 9 kutoa albam ya pili mwaka huu

 

Belle 9 akipiga story exclusive na SwahiliInfo.blog amesema atatoa albam ya pili kabla ya mwaka huu haujaisha itaitwa ‘Vitamin music’ na kuwashirikisha Hard mad ,Linex ,Joe Makin na wengineo , naanataraji kutoa single ya kuitambulisha albam hiyo..

 
akizungumzia sababu za kuwa msanii anayefanya collabo nyingi hivi sasa belle amesema ‘unajua collabo ni sababu inayonifanya nisitoe ngoma coz na mimi natajwa kwa mfano ngoma ya Young Killa licha ya kumtoa Killa lakini hata mimi imenisogeza”
nakuhusu  kama kuna gharama anazotoza kwa msanii anaitaji kufanya nae collabo ‘kwanza naangalia kipaji unajua kuna wasanii wengine hawana vipaji ila wanataka kuimba ila mi sitozi mtu naangalia kipaji’’Amesema belle 9.
nakuhusu kutopa mixtape ambayo alisema ingetoka soon belle 9 amesema kwanza anatoa albam kisha atatoa mixtipe ili kupanua wigo wa kazi zake..

0 comments: