Monday, July 29, 2013

Wizkid na RAPPER wale wakutana na kula bata LondOn,wizkid atoa kituko..Untitledy
Jana Rapper kutoka MMG (Mayback Music )Wale alitweet kuhusu kukutana na Star-Boy kutoka Nigeria Wizkid pande za London.ukumbuke kuwa Wale ni Mmarekani mwenye asili ya Nigeria ..
baada ya kukutana wali hung out katika club moja huko  London.
Wizkid aliamua kumuonesha Wale kuwa na yeye ni   gangster , kwa mujibu wa Tweet ya Wale Wizkid alimmwagia kinywaji Raia mmoja alikuwa ana act kapagagwa ndani ya club..
Untitled (1)

0 comments: