Wednesday, July 31, 2013

''GANGSTA'' HIT MAKER KAT DAHLIA AINGIA MATATANI...Kat Dahlia inaonekana ali kula bata kupita kiasi wakati akisherehekea siku yake ya  kuzaliwa na kujikuta mikononi mwa police.mkali huyo wa ngoma ya Gangsta alikamatwa asubuhi ya jana jumanne pande za Miami akiwa amelewa ..


Dahlia alfajiri ya jana akirudi nyumbani alikuwa mwendo wa kasi na ndipo police walimfuatilia na kumkuta akiwa na macho mekundu (macho ya kilevi) na hata maonezi yake yalikuwa ya kulevi na alipotakiwa kuwasilisha vipimo vya ulevi alikataa mpaka alipo pelekwa kituo cha police kilichopo jilani na kufunguliwa mashtaka ,hata hivyo aliachiwa kwa dhamana .
Kabla hajakamatwa Kat Dahlia alikuwa anaparty ya kutimiza miaka 23,albam yake mpya  My Garden,ilipangwa kutoka  September lakini sasa itatoka  February.
GANGSTA -KAT DAHLIA

0 comments: