Wednesday, July 03, 2013

Game ampongeza Kanye West kwa kupata Mtoto...North West !

http://t0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcTAQj-EDE53cqdtoxMIwB6uJlIhXbXIHkoZG9lxGXPVYNUtHk3dNgPongezi zinaendelea kutiririka kwa Kanye west na Kim baaada ya kupata mtoto,baada ya kupata pongezi kutoka kwa BeyoncĂ©, Big Sean, and Nas,sasa ni zamu The Game ambaye amemkaribisha mskaji wake katika club ya mababa /fatherhood club/.
Rapper huyo kutoka Compton amabye ni baba wa watoto watatu ametuma best wishes kwa Kanye west kufuatia kupata mtoto wakike aliepewa jina la , North West.


“Fatherhood is beautiful. Enjoy it man,” amesema  Game,
na kuhusu maone ya jina alilopewa mtoto huyo  North West?  “That’s a dope ass fucking name,” amesema Game, ambaye anamtoto wa kike anaemuita Cali Dream.

Pia Game amezungumzia  Albam Tatu za HIPHOP ambazo zimetoka mwezi mmoja ya  Kanye West, J. Cole, na Wale.
Yeezus is dope. Born Sinner is dope. Wale’s new album is dope,” Game amesika katika Rap-Up TV. “People have not ceased to put out good music. Everybody’s dope to me. I love it all.


0 comments: