Tuesday, July 16, 2013

Darasa kutoa albam katika siku yake ya kuzaliwa ,september 3 !Darasa akiiungumza exclusive na swahiliinfo.blogspot.com kuhusiana na ngoma yake mpya ‘’Weka Ngoma’’ akiwa amemshirikisha Ditto amesema hii ni ngoma ambayo aliikuta ngoma records kwa Tuddy Tomas ikiwa tayari ni beat chorus hivyo akatia verses zake .isikilize hapo chini


Kuhusu albam


Darasa amesema lazima aweke historia katika  muziki wake kwa katoa albam ambayo anatarajia kuitoka September 3 mwaka huu,tarehe ambayo ndio siku yake ya kuzaliwa .’itaitwa September 3 au sikati tamaa bado sijajua sababu bado muda upo”amesema darasa
Kuhusina na watu aliowashirikisha kwenye hiyo albam “nimefanya kazi na watu wengi Roma ,Stamina na Godzilla mwanangu ambaye tumefanya ngoma nyingi ,sitaki kuhaidi   ila watu wategemee kuwasikia wasanii mwenye majina na wasio na majina..
Na kuhusu movie ya wimbo wake wenye mafanikio ‘’sikati tamaa’’ ambayo aliitangaza sana kwenye mitandao darasa amesema ‘iko tayari ila kuna mtu amei-hold ndo kitu ninachoshughulikia hivi sasa nazani itatoka ila sitaki kuhaidi’’

0 comments: