Tuesday, July 16, 2013

CHRIS BROWN AKIUKA TARATIBU ZA UCHUNGUZI KESI YA KUMPIGA RIHANA ,HUENDA AKAENDA JELA MIAKA MINNE..


 Chris Brown
Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa jaji anaesimamia kesi ya Chris Brown ya miaka mitano iliopita ya kupiga Rihana/ 2008/amesitisha kipindi cha uangalizi wa kesi kwa madai chris alikataa kuwasilisha taarifa za lessen yake ya udereva..

Chris hajapandishwa mahakamani mpaka sasa lakini anatarajia kupandishwa kizimbani August 15 ili jaji atoe hukumu kama ni kweli chris alikiuka taratibu za uchunguzi wa kesi yake au sivyo.
Kama Chris akipatikana na hatia ya kuharibu uchunguzi atakabiliwa na kifungo cha miaka minne jela .
Chris ameonesha huzuni alionayo Kutokana na hicho kinachoendelea kupitia twetter kwa tweet...

0 comments: