Tuesday, July 30, 2013

mume wa Keyshia COLE ajisalimisha police.Mume wa  muimbaji  Keyshia Cole Daniel “Boobie” Gibson ambaye ni mchezaji wa kikapu katika ligi ya NBA akichezea Cleveland Cavaliers anakabiliwa na mashitaka ya kujibu .Daniel Gibson aka Boobie 27 ,alijisalimisha  New Orleans Police Department akidaiwa kuhusika katika ajali iliotokea   mapema mwezi july kwenye Essence Music Festival ,tamasha ambalo mkewe alikuwa ana perform .
Mpaka sasa hakuna taarifa rasmi juu ya kesi hiyo , ila inadaiwa ni kesi ya ajali iliohusisha majereha,Gibson aliachiwa  muda mfupi baada ya kujisalimisha

0 comments: