Wednesday, July 31, 2013

Video:Ray J amkejeri Kanye West


Ray J Mocks Kanye West's Paparazzi Altercation
Ray J amkejeri kanye west juu ya kitendo chake cha kumpiga paparazzi  wakati akiwa nje ya  Hollywood nightclub. 

Katika video iliowekwa kwenye mtandao wa Gossip za watu maarufu TMZ inamuonesha Ray j akifanya kitendo kama alicho kifanya kanye west akiwa airport  kwa paparazzi siku chache zilizopita , lakini yeye kwenye hiyo video anaonekana akizozana na paparazzi kimasiara zaidi na kutokana na maneno aliyo yatumia inatafsiliwa ni kejeri kwa Kanye West.

“Listen, go to college. Forget all that. Go to college,” said Ray J. “Do something good with your life. You can’t hit the 7 and eleven like us all the time. You can’t be lucky like this. Go to college and get a good education. I’m not watching anything. I’m only watching scholars go to college and get a good graduation.”Ray J amekuwa sio muoga kumzungumzia ex wake Kim Kardashian ambaye kwa sasa ni mama mtoto wa Kanye West , April mwaka huu Ray J aliachia track ‘I Hit It First’ ambayo ilimgusa pia Kim..

0 comments: