Thursday, July 18, 2013

Busta Rhymes +New Albam = E.L.E. 2….Mashabiki wa rap wamekuwa wakisubiria kwa hamu kubwa albam ya kwanza ya Busta Rhymes tangu ajiunge katika label ya  Cash Money ,sasa Busta Rthymes ametoa jina rasmi la hiyo albam baada ya kuachia single ya kwanza ‘Twerk It’
Albam hiyo itaiwa E.L.E. 2. Ikiwa ni muendelezo wa albam yake ya mwaka 1998   E.L.E (Extinction Level Event): The Final World Front

0 comments: