Thursday, May 02, 2013

Chris "Mac Daddy" Kelly member wa Kriss Kross afariki dunia... Kriss Kross Rapper Chris Kelly Dead of Possible Drug Overdose
Mkali wa rap miaka ya 90 akiwa na kundi la Kriss Kross ,Chris "Mac Daddy" Kelly, amekutwa amefariki dunia nyumbani kwape pande za Atlanta.
 Habari hizo za kusikitisha zimekuja baada ya Chris "Mac Daddy" Kelly kutoka kufanya performance ya Anniversary ya so so def kutimimiza miaka 20 mwezi February
DJ Greg Street amethibitisha kifo cha  Chris "Mac Daddy" Kelly, na amefariki akiwa na miaka 34 inadaiwa jamaa allizidiwa hiyo jana na kupelekwa kituo kidogo cha afya Atlanta na kurudishwa nyumbani kabla ya muda mfupi kutangazwa kwa kifo chake..sababu za kifo chake bado hazijajulikana mpaka sasa
. R.I.P. Chris "Mac Daddy" Kelly.

0 comments: