Sunday, May 05, 2013

PICHA ZA MLIPUKO WA BOMU KANISANI KATOLIKI ARUSHA ..Polisi wakijaribu kuchunguza eneo bomu lilipolipukia leo asubuhi wakati wa misa ya kuzindua kigango hicho.iliyo katika kata ya olasiti na parokia ya burka
 
Majeruhi wa tukio hilo wakiwa katika hali mbaya..

0 comments: