Friday, May 17, 2013

SAUTI:GodZilla akizungumzia kuafanya Mixtape na Diamond...


 
king zilla from salasala kupitia ukurasa wake wa Facebook amechapisha taarifa za kufanya mixtape na msanii pendwa kwa hivi sasa ndani ya bongo Diamond,
"New mixtape Zilla Vs diamond" mj records" jamaa anachana bwana. Tutaona nani atamfunika mwenzake" produced by Zaa chaa n marco chali. @ studio now.
Wote tunachana humo."ameandika Zilla
kufuatia taarifa hizo swahiliinfo.blogspot.com imemvutia wire zilla na amefunguka zaidi kwa kusema wamekwisha kutengenzea ngoma moja kwa Marco chali na wanajipanga kutengeneza nyingine ,
pia zilla amezungumzia mixtape waliotangaza kuifanya na Nikki Mbishi

#sikilize hapa..

0 comments: