Thursday, August 08, 2013

TIZAMA MUONEKANO MPYA WA BEYONCE BAADA YA KUKATA NYWELE..#SHE IS HOT !

Beyoncé
Boyonce amekata nywele zake siku chache baada ya kuenea video clip katika mitandao iliomuonesha  amenaswa nywele zake katika feni akiwa on stage katika moja ya show ya tour yake “Mrs. Carter Show World Tour”


BeyoncéBeyoncé 
baada ya Queen bee kutupia picha hizi instragram  wakinadada akiwemo muimbaji Christina Millan hawakuacha kutoa comment na nyingi zilikuwa za kusifia.....
“Really beautiful!! A change was needed and this hairstyle really suits you!!”
#Christina Milian  “I love you even more! Omg her new look is ahhhhmazing! Free yourself baddieBey! Yess! So hot!” 

0 comments: