Monday, August 12, 2013

ASTANTI NA JAH RULE WAKUTANA STUDIO ,KUFANYA COLLABO.
Baada ya week kadhaa Ashanti kuzungumzia juu ya kuugana kwa mara nyingine tena  na Ja Rule ambaye ametoka jela hivi karibuni ili kufanya collabo kadhaa ,sasa zimeonekana pics kupitia instragam wakiwa studio ikionesha kwamba kuna vitu vinakuja.
Ashanti na Ja Rule walishawahi kutengeneza hits kadhaa kipindi wote  wakiwa katika label ya Murder Inc.najua unakumbuka track kama always on time..
 
 Ashanti pia kwasasa anafanyia kazi albam yake mpya 'BraveHeat' ambayo amedai kuwashirikisha Cool &Dre ,Meek mill ,French Montana na huenda Ja Rule pia akatokezea kwenye moja ya track za albam hiyo ilipangwa kutoka September 3, 2013 .
Jah Rule yeye kwasasa anajiandaa kutoa movie mpya‘Im in love with a church girl’ambayo itatoka oct 18.

0 comments: