Rapper alieanzisha biashara ya condom na boxes sasa anauza vikombe pia..
Rapper anazungumziwa sana nchini kenya kwa hivi sasa Octopizzo amezidi kujikita katika
biashara baada ya kuanzisha biashara ya Condoms ,Boxies za
vitenge,clothing line na Tour Company sasa ameanza kuuza vikombe vyenye
jina na picha yake kwa nje..
0 comments:
Post a Comment